MAZINGIRA YETU TUYALINDE
Mradi wa Kijanisha Mazingira kwa kupanda miti 175,000 na Kushawishi utumiaji Nishat salama kwa kusambaza mitungi 3,000
Mradi wa Kijanisha Mazingira kwa kupanda miti 175,000 na Kushawishi utumiaji Nishat salama kwa kusambaza mitungi 3,000
Ujenzi wa vituo vya Afya saba mkoa kimoja kila wilaya
Mradi huu unaangazia kuwasaaidia wakina mama elimu ya Uzazi,wasichana kueelewa na kujitambua na kuwekwa huru kubako ndoa za utotoni na watoto wanaozaliwa kupata huduma sahihi ikiwemo unyonyeshaji wa miaka miwili.