
BAKWATA MKOA WA MWANZA YAPOKEA VIFAA VYA UJENZI WA VITUO VYA AFYA
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limepokea mifuko kumi ya Sementi kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya mkoani Mwanza.
Mifuko hiyo imetolewa na ndugu Ramadhani Husein ikiwa ni swadaka kwa ajili ya marehemu mke wake Bi Husna Mlanzi.