BAKWATA inatoa huduma za mashauri ya ndoa kwa lengo la kusaidia wanandoa kujenga mahusiano yenye afya na imara.
BAKWATA hutoa mashauri ya talaka ili kusaidia wanandoa kutatua migogoro kabla ya kufikia uamuzi wa talaka.
BAKWATA inatoa mashauri ya mirathi kwa lengo la kusaidia familia kutekeleza usahihi wa kugawana mali kisheria.
BAKWATA inatoa fat’waa za mashauri ya kidini ili kutoa mwongozo wa kisheria na kimaadili kwa Waislamu katika masuala mbalimbali ya maisha.
BAKWATA inatoa miongozo inayohitajika mahakama za secular (kidunia) ili kuhakikisha kwamba haki zao za kidini na ki-Islamu zinahifadhiwa.